Already a member(admin)?Sign in
(0 downloads)
Bwana hasemi uongo, alichokitabiri ndo kinachotokea Sasa.
(0 downloads)
Safari ya kwenda Mbinguni yahitaji uvumilivu na kumwomba sana Mungu.
(1 downloads)
Uaminifu ni mtaji, ishi na watu vizuri, kumbuka utu, hata kama huna kitu.
(0 downloads)
Bwana asema, "Mimi ni wokovu wa watu, wakinililia katika taabu yoyote nitawasikiliza, nami nitakuwa Bwana wao milele".
(0 downloads)
Njooni kwangu mliobarikiwa na Bwana, ulithini ufalme mliowekewa tayari.
(0 downloads)
Kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida kwa maana tukiisha ni kwa ajili ya Bwana na tukifa tutaishi naye milele.
(0 downloads)
Tumsifu Yesu kwa upendo wake, upole wake, huruma yake, faraja zake maana Yeye ni mwema milele yote.
(2 downloads)
Tumshukuru Mungu kwa mema mengi anayotutendea. Tumshukuru wazima wazima kimwili na kiroho kwa kucheza, kuimba na kwa kila kiungo chetu cha mwili.
(5 downloads)
Habari za Bwana Yesu ni nzuri sana kuzisikia. Huyu Yesu ni wa ajabu na tena anashangaza; anaitwa Mwana wa Mungu hapo hapo anaitw mwana wa Adamu, ni Mwanakondoo hapo hapo ndiye Mchungaji mwema, kweli halinganishwi na hana mpinzani.